19 Juni 2025 - 18:33
Mshtuko wa Netanyahu baada ya kuomba athari kubwa ya Makombora ya Iran + Video

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni, ameshikwa na bumbuwazi na mshtuko mkubwa baada ya kuona athari kubwa za mlipuko wa Makombora ya Iran baada ya kulisambaratisha moja ya jengo lililolengwa katika shabaha ya Makombora ya Iran. Makombora yamesambaratisha jengo hilo na kila kitu kilichokuwepo kando yake.

Mshtuko wa Netanyahu baada ya kuomba athari kubwa ya Makombora ya Iran + Video

Makombora hatari ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mlipuko wake ni habari nyingine

Katika picha na video hiyo unaweza kuona jinsi kombora moja tu lilivyosambaratisha jengo zima na kila kitu kilichokuwepo kando yake. Israel imeanza yenye vita hii lakini kwa sasa nguvu zake zimeonekana kuwa zilikuwa nguvu za soda, kwa sasa anaiomba Marekani iweze kuingilia vita ili kumsaidia, kwake hali ni tete. Iran imetoa tahadhari mapema kwa walowezi wa kizayuni kutoka mara moja katika miji yote ya Israel, lasivyo wachague kuishi kwenye mashimo ya kujificha chini ya ardhi na kufia huko au kuuliwa na makombora ya Iran ambayo bado moto wake halisi hawajauona.

Your Comment

You are replying to: .
captcha